Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 1, 2014

UZINDUZI RASMI WA FARIDAS FOUNDATION WAFANAMkurugenzi  Farida A. Sekimonyo wa Faridas Foundation Akiomba Sala ya  Uzinduzi Rasmi wa Foundation
 Mshehereshaji wa Shughuli ya uziinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi
 Elias Masaki katibu mkuu 'CHAWATA' na pia Mweka Hazina Shirikisho la watu wenye ulemavu akichangia  mawazo kuhusiana na jinsi Farida Foundation Inavyofanya kazi zake kwa Jamii
 Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia maada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa Faridas Foundation
Kassim  Kibwe Katibu wa "SHIVYAWATA" Temeke na Mwenyekiti wa Albino  akichangia maada Iliyokuwa ikiendelea katika uzinduzi wa Faridas foundation
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini Uzinduzi wa Faridas Foundation
Afisa Miradi wa Faridas Foundation Bw.Lumanus  akijadiliana Jambo Na Mkurugenzi Wa Faridas Foundation Bi Farida A.Sekimonyo

 Kikundi  cha Mabaga Fresh Wakitoa Burudani kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation
 Mkurugenzi wa Faridas Foundation Akimkabidhi zawadi ya pointer  Mshehereshaji wa Shughuli hiyo Bw.Taji Liundi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...