WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakiongozana na Madona Pemba
(kushoto), Mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano
ili kuzungumza na Watanzania waishio Reading Julai 10, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira kutoka kwa Watanzania
waishio Reading nchini Uingereza kabla ya kuzungumza nao Julai 10,
2014. Kushoto ni Mwenyekiti wa…
No comments:
Post a Comment