Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 4, 2014

WAZIRI WA ULINZI WA CHINA AWASILI NCHINI


Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Watu wa China, Jenerali Chang Wanquan (Kulia) na waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi wakikagua gwaride rasmi lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na JKT, Dar es Salaam leo.(PICHA KWA HISANI YA JWTZ)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...