Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 8, 2014

MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATIIMG_4946
Mke wa Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza   la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland  Mama Nomsa  Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani  na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_4957
Mke wa Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza   la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland  Mama Nomsa  Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani  na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...