Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 4, 2014

Rais Kikwete aonana na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko Ikulu, Dar


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino alieambatana na Mkewe Princess Kiko walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mbelwa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazunzumzo na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatembeza Ikulu Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko walipomtembelea jijini Dar es salaam leo July 3, 2014. Wengine ni WaZiri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe,
Naibu WaZiri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi, balozi wa Tanzania nchini japan Mhe Salome Sijaona na balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe Masaki Okada.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha Simba waliotengenezwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko walipomtembelea jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...