Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, January 27, 2015

Dege Eco Village yadhamini miaka 66 ya Uhuru ya India.

Mkurugenzi wa Dege Eco Village akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Afisa Mauzo, Catherine Mhina akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Wageni walikwa kutoka kwenye jamii ya kihindi jijini Dar es Salaam wakisherekea madhimisho ya miaka 66 ya Uhuru wa India.
Dar es Salaam, tarehe 25 Januari 2015 - Kampuni ya Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco Village wamedhamini madhimisho ya miaka 66 uhuru wa India niliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Dege Eco Village walilenga kuungana na balozi wa India kusherekea miaka 66 ya Uhuru pia kuwapa waTanzania nafasi maalum yakuulizia mradi huu wa Dege Eco Village na pia  kuweza kukutana na wa Menejea Mauzo wa mradi huo.
Akihojiwa meneja Mauzo Bi. Catherine Mhina alisema kwamba Dege Eco Village wanafurahi sana kuweza kukaribia waTanzania katika madhimisho haya na kuweza kuwaelezea mradio mkubwa wa Dege Eco Village. Aliongezea na kusema kwamba mradi huu wa Dege Eco Village iliyopo Ras Dege, Kigamboni itakuwa na huduma za kijamii kama hospitali, shule aina ya chekechea, sekondari, pia kutakuwa supermarket na kadhalika.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya www.degeecovillage.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...