Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 6, 2012

TIGO YAZINDUA TIGO ITNERNET MEGA BOKSI.


 KAMPUNI ya Tigo leo imezindua huduma mpya ijulikanayo kama 'Tigo Internet Mega Boksi' ambayo itawawezesha wateja wa mitandao inernet na ya kijamii yani barua pepe, Facebook, twitter na mingineyo katika harakati za kuboresha upatikanaji wa habari kwa jamii.

Huduma hiyo ambayo imezinduliwa na Afisa Uhusiano wa Kampuni hiyo Alice Maro, itakuwa ni huduma ya kununua vifurushi vinavyoendana na mahitaji ya mteja. Kuna vifurushi vya siku wiki na mwezi pamoja na kufanya uamuzi wa matumizi ya huduma mbalimbali zinazoendana na mtandao.
Mteja anaweza kujiunga kwa kupiga *148*01# na wateja kupata vursa ya kuchagua muda wa vifurushi.

Waandishi wakufuatilia kwa makini wakati wa kutangaza kwa huduma mpya ya Tigo Internet Boksi.
  Meneja Operesheni Huduma za Internet Kwame Makundi, akizungumza na waandishi wa habari juu ya huduma hiyo mpya inavyofanya kazi., kulia ni Afisa Habari wa Kampuni hiyo Alice Maro.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...