Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw Rene Meza akielezea jinsi Vodacom
ilivyochangia zaidi ya shilingi bilioni 700 katika malipo ya kodi ya
serikali alipokutana na waandishi wa habari mjini Dodoma.
Mhariri
wa gazeti la The Citizen, Peter Nyanje akiuliza swali. Pamoja nae
katikati ni mhariri wa gazeti la Daily News John Kulekana na kushoto ni
mhariri wa gazeti la Habari Leo Mgaya Kingoba.
Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza (hayupo pichani)
Mwandishi
wa gazeti la The Guardian Bw. Florian Kaijage akiuliza swali kuhusiana
na Vodacom Tanzania kuchangia zaidi ya shilingi bilioni 700 katika kodi
za serikali katika mkutano na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania
Bw. Rene Meza(Hayupo Pichani), kushoto kwake ni mhariri wa gazeti la
Mwananchi Bw. Neville Meena.
Wahariri
mbali mbali wa vyombo vya habari wakinukuu maelezo yaliyotolewa na
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza (hayupo pichani),
akielezea jinsi Vodacom ilivyochangia zaidi ya shilingi bilioni 700
katika malipo ya kodi ya serikali alipokutana na waandishi wa habari mjini Dodoma.
Waandishi
wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania Bw. Rene Meza (hayupo pichani) wakati alipokuwa akiwaelezea
uchangiaji wa Vodacom wa zaidi ya Shilingi bilioni 700 katika kodi za
serikali alipokutana nao mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment