Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki za
kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi (DOLASED) Gidion
Mandesi(katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu haki
mradi wa haki za walemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO
leo.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO,Vincent Tiganya na kulia
ni Afisa Mipango wa DOLASED Risala Msemo.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki za
kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi (DOLASED) Gidion Mandesi(kulia)
akifafanua Sheria ya Watu Wenye Ulemavu namba 55(1) ya mwaka 2010
inayohusu vyombo vya habari hususan televisheni vinavyotakiwa kuweka
wakalimani kwa ajili ya taarifa ya habari na matukio mengine ya kitaifa
ili viziwi waweze kupata taarifa katika ukumbi wa Idara ya Habari
–MAELEZO leo kwa kutumia maandishi ya nukta nundu.kulia ni mwandishi
wa habari wa gazeti la majira , David John.
No comments:
Post a Comment