Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 1, 2010

KUMEKUCHA MISS CHANG'OMBE


Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Chang'ombe 2010 wakiwa katika picha ya pamoja kwenye klabu ya TCC Sigara Chang'ombe jijini Dar es salaam jana jioni.
Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 4 wiki hii katika ukumbi huohuo ambapo jumla ya warembo 19 watapanda jukwaani kuwania taji hilo huku burudani ikitolewa na bendi maarufu ya FM Academia ya jijini Dar es salaam pamoja na kikundi cha ngoma za asili cha Machozi photo by www.fullshangwe.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...