Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 17, 2010

ZITO KABWE KUGOMBANIA UBUNGE TENA KIGOMA KASKAZINI


Wananchi waki msikiliza katika moja ya mikutano yake
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe alishanagaza wengi pale alipochukua fomu za kugombea ubunge kupitia jimbo hilo ambalo kwa sasa ndiye anayeliongoza Zitto alichukua fomu hizo katika Mkutano wa hadhara jana uliofanyika kijijini Mwandiga Kigoma Vijijini kisha Mh. Zito Kabwe CHADEMA akahutubia wakazi wa kijiji hicho.
Kwa kitendo cha Zitto Kabwe kuchukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo lake kunazika minog'ono yote iliyokuwa ikisikika kuwa pengine angegombea kupitia kupitia jimbo lolote jijini Dar es salaam.
Picha zote na Mpiga picha wetu.www.fullshangwe.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...