Mwimbaji wa bendi ya msondo ngoma music bendi Juma Katundu kulia akicheza sambamba na mnenguaji wa bendi hiyo Nacho Mpendu kushoto ni Romani Mng'ande 'Romarioo'
Mwanamziki Mkogwe SAidi Mabela akipiga gita la Solo sambamba na shabiki wa bendi hiyo walipotumbuiza katika ukumbi wa Africenter Ilala DAr es salaam
Rapa wa bendi ya Msondo ngoma Roman Mng'ande akigani sambamba na wanenguaji wa bendi hiyo kushoto ni Nacho Mpende 'Mama Nzawisa' na Amri SAidi Dongo
No comments:
Post a Comment