Marquee
tangazo
Sunday, June 6, 2010
MASHALI ACHAKAZA MLOSO KO MBAYA SANA
bondia Mashali akitupa ngumi mfululizo kwa ajili ya kumsambalatisha mpinzani wake
Bondia Thomasi mashali akichuana vikari na Robart MLoso wa Arusha katika mpambano ambao Mloso alipigwa mpaka kuzimia kwa dakika 6
mabondia wa mpambano wa utangulizi wakipigana wakati wa onesho hilo
BONDIA Thomas Mshali wa Dar es salaam amemchakaza vibaya mpinzani wake Robert Mloso anaetokea mkoa wa Arusha,kwa KO , mbaya katika raundi ya tano ambapo katika mfululizo wa mpambano huo ulianza kuwa na mashambulizi ya huku na huku Mashari akitumia ngumi ya kulia na kushoto kujalibu kutafuta nafasi ya kumpiga mpinzani wake.
Nafasi hiyo ilikuja kupatikana katika raundi ya tano ambapo alipiga ngumi ya kushoto na kulia kisha kumaliza kabisa mpinzani wake huyo alieanguka chini misri gunia la mchanga na kupoteza fahamu takribani dakika sita na kusaidiwa na jopo la madakitari waliokuwepo ukumbini hapo
Pambano hilo liliandaliwa na Oraganizesheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBO) lilikuwamaalumu kwa kwaajili ya kupima viwango vya mabondia hawo.
Ambalo alikuwa na ubingwa wowote ule baada ya kumaliza kazi hiyo ndipo likaibuka kundi lililokuwa likishangilia na kusema bado, Maugo ambapo awali mpambano huo ulikuwa uwakutanishe mambondia Mada Maugo na Thomas Mshali kwa sasa Maugo anakabiliwa na mpambano wake yeye na Rashidi Matumla utakaofanyika katikati ya mwezi ujao
Mapambano ya kufagia uwanja yalikuwa ya nguvu
baadhi ya mabondia wakicheza mapombano ya utangulizi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment