
Waziri Tibaijuka akiondoka baada ya kumaliza mkutano na wapangaji wa Shirika la Nyumba Tanzania leo

akiagana nao kwa kupeani mikono

Waziri wa Nyumba Ardhi na Maendeleo ya Makazi PROF, Anna Tibaijuka akizungumza na wakazi wa nyumba Upanga leo

Baadhi ya wakazi wanaoishi nyumba za shirika la Nyumba nchini wakiwa kwenye mkutano leo

MKurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Nchini Bw. Nehemiah Mchechu akizungumza
No comments:
Post a Comment