Kanumba akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi huo.
MCHEZA sinema maarufu nchini, Steven Kanumba, kwa kushirikiana na Taasisi ya Policy Forum wameandaa filamu mpya inayokwenda kwa jina la Kijiji cha Tambua Haki.
Kanumba aliitambulisha rasmi leo filamu hiyo inayotarajiwa kuingia sokoni mapema mwezi huu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment