
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo Bi. Alice Maro (kulia)
akila chakula cha mchana na watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika kituo cha kulelea watoto hawo cha NEW LIFE ORPHANS HOME kilichopo Kigogo Dar es salaam leo

Msimamizi wa Masoko wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo Bw. Gaurdence Mushi katikati akila chakula cha mchana na watoto wa kituo hiko leo

Baadhi ya Watoto wanaolelewa katika kituo cha New Life Orphans home wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya tigo

Watoto wakiwa na zawadi zao baada ya kukabidhiwa leo

Zawadi zikipangwa kwa ajili ya kuwapatia watoto wa katuo hiko leo

Burudan ya sarakasi ikitolewa

Meneja wa Huduma za Burudan wa Kampuni ya tigo Bw. David Zacharia kushoto akipokea risala kutoka kwa kaka mkuu wa kituo hiko Issa Athumani

Mkurugenzi wa Kituo hiko Bi.Mwanaisha Magambo akiwaonesha maofisa wa kampuni ya tigo sehemu mbalimbali wanazoishi watoto wa kituo hichoH

WAKIPATIWA MAELEZO KAMILI

warembo wa tigo waki shoo love mbele ya kamera ya burudan blog
No comments:
Post a Comment