TIGO YAKABIZI ZAWADI ZA WASHINDI WA PROMOSHENI YA ZAMU YAKO KUSHINDA
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo Bi. Alice Maro (kushoto) akimkabidhi lap top Bi. Asma Abdallah baada ya kuibukla mshindi katika promosheni ya Zamu yako kushinda anaeshughudia katikati ni Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw. Edward Shila Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo Bi. Alice Maro (kushoto) akimkabidhi lap top Bi. Esther Cheyo baada ya kuibukla mshindi katika promosheni ya Zamu yako kushinda anaeshughudia katikati ni Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw. Edward Shila Baadhi ya wana habari walioibuka washindi wa vocha shiringi 10000 wakionesha vocha zao
No comments:
Post a Comment