Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment kulia ni Ibrahim Mbena.(Picha na http://www.burudan.blogspot.com/)
Marquee
tangazo
Friday, February 17, 2012
MSANII SIMON MWAPAGATA 'RADO' ATOA MSAADA KWA WATOTO BUGURUNI VIZIWI KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA STEPS ENTATAINMENT
Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment kulia ni Ibrahim Mbena.(Picha na http://www.burudan.blogspot.com/)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment