Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, February 9, 2012

JK Akutana Na Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa Marekani


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012
Picha ya pamoja
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake pamoja na waziri wa Nishati na Madini Mh Williuam Ngeleja walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...