Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 7, 2012

TIGO YAKABIZI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'ZAMU YAKO KUSHINDA'

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shila wakimkabidhi mshindi wa lap top Bw.Dickson Saruti wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shila wakimkabidhi mshindi wa milioni nne Bw.Issack Rajabu wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shila wakimkabidhi mshindi wa milioni nne Bw.Benetson Gobelabo wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shila wakimkabidhi mshindi wa lap top Bi.Theresia Kagoma wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...