
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfey Simbeye (kulia) akimkabidhi Gadna Habash kiongozi wa Bendi ya Machozi, ya Judith Wambura Lady Jay Dee, nembo ya mistari ya bidhaa BARCODES katika hafla iliyofanyika, Dar es Salaam. Nembo hiyo imetengezwa na kampuni ya GSI

Gadna akizungumza baada ya kupokea nembo hiyo ya biashara

Gadna (wa pili kulia) akionesha moja ya albamu ya nyimbo za bendi ya machozi ambayo ina nembo hiyo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfey

Wafanyakazi wa kampuni ya GSI wakiwa katika picha ya pamoja na Gadna Habash

Gadna akibadilishana mawazo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfey Simbeye (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa Uanachama wa TPSF, Louis Accaro
No comments:
Post a Comment