Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, February 12, 2012

SINTA KUSHUT MOVIE MOJA NA JUMA NATURE "STAKI DEM"

Movie star wa bongo mrembo SINTAH ametangaza kwamba mwanzo mwa march mwaka huu, wanaanza kushoot movie na mpenzi wake wa zamani msanii JUMA NATURE, movie ambayo itazungumzia maisha yao ya kimapenzi kabla ya kuachana zaidi ya miaka 10 iliyopita, inaitwa ‘SITAKI DEM” jina ambalo ni la track ya Nature aliitoa wakati alipoachana na SINTAH.

Sintah amesema “siku hizi mambo ya ugomvi yamepitwa na wakati japo ilikua shida sana mwanzoni wakati tunauanza huu mpango manake ilibidi nikubali kwamba kama kuimba nimeshaimbwa, kwa sababu kutakua na pande mbili za hiyo movie, itauzwa kama movie ya kawaida, na pia itauzwa kopi ya behind the scene”

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...