Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 13, 2010

JOHN MNYIKA ACHUKUWA FOMU KUGOMBANIA JIMBO LA UBUNGO


JOHN MNYIKA
Mgombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ,Mh. John Mnyika akipokea fomu za kugombea Ubunge kwa jimbo hilo kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi jimbo la Ubungo,Bw. Gaudence Nyamwihura katika ofisi za Manispaa ya Kinondoni leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...