Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 22, 2010

BODI YA RASCOM KUKUTANA KESHO DAR ES SALAAM

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa RASCO
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa RASCO
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuniya mawasiliano ya Satelite Afrika (RASCOM)Bw.Jones Killimbe akizungumza
wadau kutoka nchi za nje walikuwepo katika mkutano uho leo

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuniya mawasiliano ya Satelite Afrika (RASCOM)Bw.Jones Killimbe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari DAr es salaam jana kuusu mkutano wa bodi wa RASCOM utakaofanyika leo kulia ni Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) Bw Ernest Nangi


Nchi za Afrika zimetakiwa kuboresha mawasiliano kwa njia ya satelite ili kukuza mawasiliano ya uchumi hayo yalisemwa jana Dar es salaam jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuniya mawasiliano ya Satelite Afrika (RASCOM)

Bw.Jones Killimbe kuwa mawasiliano hayo yamesaidia kuboresha huduma za jamii.'leo leo kutakuwa na mkutano wa bodi ya RASCOM kuzungumzia mafanikio toka tilipopata huduma za Satelite'alisema Bw. Killinge


Aliongeza kuwa matumizi ya mawasiliano kwa njia ya satelite yatasaidia kubolesha huduma za benki na kurushwa kwa matangazo ya redio na televisheni kirahisi.

Bw. Kullimbe alisema asilimia 65 ya wananchi wanaishi vijijini na wanaitajihuduma za mawasiliano ili kuwa na maisha bora RASCOM itasaidia kuunganisha zaidi ya shule 600,000 za Afrika ili kuongeza ufanisi kwa wanafunzi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...