Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 22, 2010

DK. BILAL AANZA KAMPENI MKOA WA KIGOMA


Mgombea Mwena wa urais kupitia tiketi y CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili ya Kabila la Waha, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma jana mchana kwa ajili ya kufanya mikutano ya kampeni katika mkoa huo
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia tiketi ya CCM, Dkmed Gharib Bilal, akisalimiana na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Peter Selukamba baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mjini Kigoma jana mchana Sept 21 kwa ajili ya kufanya mikutano ya kampeni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...