Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 1, 2010

MSHINDI WA KWANZA WA VODACOM SHINDA MKOKO APEWA MKOKO WAKE


wasimamizi wa promosheni hiyoo

waratibu wa promosheni ya shinda mkoko wakiwa na mshindi

Mshindi wa gari katika promosheni ya shinda Mkoko na Voda Com Bi. Apriana Chuma akifurahia gari lake baada ya kukabidhiwa Dar es salaam
Wawakilishi wa watanzania wote katika promosheni ya shinda mkoko wakiwa katika hafla ya makabidhiano leo
Meneja wa Kitengo cha Voda Com Fondition Tanzania Bi. Mwamvita Makamba (kushoto) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya shinda mkoko Bi. Aprina Chuma Mkazi wa Tegeta Dar es salaam leo kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Wateja wa Kampuni hiyo Bi. Aika Matiku

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...