Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, September 3, 2010

KESI YA MAWAZIRI WA ZAMANI YAZIDI KUUNGURUMA

wakiwa mahakamani kusikiliza kessy



Wakili Prof. Leonard Shahidi (kushoto) akizungumza na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja aliyekuwa waziri katika Wizara hiyo Bw. Bazil Mramba na aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini Bw.Daniel Yona, kabla ya kuingia chumba cha mahakama ya kisutu Dar es salaam jana kujibu kesi ya kutumia vibaya madaraka yao na kusababishia serekali asara ya zaidi ya shiliki bilioni 11

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...