Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 1, 2010

MISS TANZANIA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA NA KUPATA MAFUNZO MBALIMBALI


Afisa usalama wa TBL,Ismail Kalema (pili kulia) akiwaelekeza Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakati wa mafunzo ya uzimaji moto waliyokuwa wakiyapata leo katika kampuni ya bia Tanzania,TBL.
wakiwa tayari kwa kuzima moto
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania,wakipata maelezo ya namna ya utengenezaji wa bia zinazozalishwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL) kutoka kwa afisa wa TBL,Tumaini Moses

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...