Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 2, 2010

WACHEZAJI WA POOL WAENDELEA NA MAZOEZI KATIKA UKUMBI WA POOL TABLE VILLANGE






Mkurugenzi mtendaji wa uwanja wa pool table village, Mponjoli Mwakabana (kulia) akiwakaribisha wachezaji wa mchezo huo katika uwanja wake uliopo tandika davis kona jana wakati timu hiyo ilipoweka kambi

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya mchezo wa pool, Denis Lungu (kulia) akiwaelekeza jansi ya kupiga mpira wachezaji wa timu hiyo walipokuwa wakifanya mazoezi wa pool table Villange uliopo tandika davis kona

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...