Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 1, 2010

WAREMBO WA MISS TANZANIA KUTEMBELEA TBL


Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja waliyoipiga katika vazi la Kimaasai mjini Tanga. Warembo hawa Septemba 1 2010 watatembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL) kujionea uzalishaji wa vinywaji mbalimbali kikiwepo cha REDDS PRIMIUM COLD ambacho kimedhamini onesho hilo.http://mrokim.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...