Bondia Idd Mkwela katikati akipima uzito kwa ajili ya mpasmbano wake wa kesho julai 16 na Hussein Gobosi mpambano utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito Pembe Ndava nadr donard Madono Picha na SUPER D BOXING NEWS |

Bondia Idd Mkwela akipima uzito kwa ajili ya
mpasmbano wake wa kesho julai 16 na Hussein Gobosi mpambano
utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito
Pembe Ndava nadr donard Madono Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Mkwela kushoto akipima uzito kwa ajili ya mpasmbano wake wa kesho julai 16 na Hussein Gobosi mpambano utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito Pembe Ndava nadr donard Madono Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Idd Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Hussein Gobos baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho julai 16 katika ukumbi wa travertain Magomeni Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Idd Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Hussein
Gobos baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika
kesho julai 16 katika ukumbi wa travertain Magomeni Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na mabondia Vicent Mbilinyi kushoto na Idd Mkwela ambaye anatarajia kucheza kesho katika ukumbi wa Travertain Magomeni ambapo atazipiga na Hussein Goboss Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
katikati akiwa na mabondia Vicent Mbilinyi kushoto na Idd Mkwela ambaye
anatarajia kucheza kesho katika ukumbi wa Travertain Magomeni ambapo
atazipiga na Hussein Goboss Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na Young Coach Edward Emmanuel Lyakwipa kushoto mabondia Idd Mkwela wa pil kushoto na kulia ni bondia Vicent Mbilinyi na Idd Pialali baada ya bondia Idd Mkwela kupima uzito kwa ajili ya kupambana na Husein Gobosi mpambano utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Travertain Magomeni Picha na SUPER D BOXING NEWS |

Na MWANDISHI WETU
MABONDIA Idd Mkwela pamoja na Hussein
Gobosi wamepima uzito kwa leo kwa ajili ya mpambano wao kesho jumamosi
ya julai 16 katika ukumbi wa Travetain Magomeni mpambano uho wa Kg 61
utakuwa wa raundi sita
umekuwa na changamoto kemkem baada ya
kila bondia kutambiana kwa kambi zao katika sehemu mbalimbali ikiwemo
katika mitandao mbalimbali ya kijamii
mbala na mpambano uho kesho kutakuwa
na mapambano mbalimbali ya ngumi zitakazopigwa kesho ambapo bondia
Hussein Itaba atapambana na Ibrahimu Tamba katika uzito wa kilo gram
76mpambano wa raundi nane
katika upimaji uzito huo uliiofanyika soko la ndizi mabibo katika uwanja wa mpira wa las vegas
kulikua na shangwe na shamlashamla za mashabiki waliojitokeza kwa ajili ya kushudia shughuli nzima ya upimaji uzito
Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D'
kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki
kujua sheria za masumbwi.
Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd
Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David
Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa
yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano
makubwa matano ya utangulizi
No comments:
Post a Comment