Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 9, 2016

IDD MKWELA ALIVYO MSAMBALATISHA NASSORO MADIMBA BAGAMOYO MKOA WA PWANI


Bondia Idd Mkwela kushoto akipambana na Nassoro Madimba wakatiwa mpambano wao uliofanyika bagamoyo mkoa wa pwani Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpambano uho Pichas na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Idd Mkwela kushoto akipangua konde lililotupwa na Nassoro Madimba wakatiwa mpambano wao uliofanyika bagamoyo mkoa wa pwani Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpambano uho Pichas na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Mkwela kushoto kutoka kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Nassoro Madimba wa Bagamoyo wakati wa mpambano wao uliofanyika Bagamoyo Mkoa wa Pwani Mkwela alishinda kwa Ko. ya raundi ya pili Pichas na SUPER D BOXING NEWS
Refarii Said Chaku akimesabia bondia Nssoro Madimba baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Idd Mkwela na kwenda chini Pichas na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Kalama Nyilawila kushoto akipambana na Hussein Pendeza wakati wa mpambano wao uliofanyika bagamoyo Kalama alishinda kwa T.K.O ya raundi ya pili ya mchezo Pichas na SUPER D BOXING NEWS



Bondia Kulwa Bushiri kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdallah Pazi wakati wa mpmbano wao uliofanyika Bagamoyo mkoa wa pwani Pazi alishinda kwa K.O ya raundi ya pili ya mpambano uho Pichas na SUPER D BOXING NEWS
 Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia wake Idd Mkwela wakati wa mpambano wa bondia huyo uliofanyika Bagamoyo Mkoa wa Pwani Pichas na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na mabondia wake Idd Mkwela katikati na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wa Mkwela uliofanyika Bagamoyo Mkoa wa PwaniPicha  na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Abdallah Pazi kushoto akitunishiana misuli na Kalama Nyilawila wakati alipokutanya Bagamoyo Mkoa wa pwani wakati wa mpambano wa Idd Mkwela na Nassoro Madimba wa Bagamoyo Pichas na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...