francis cheka kushoto wakioneshana umwamba wa kurusha masubwi mda mcheche uliopita cheka alishinda kwa pointi Francis Cheka na mada nMaugo wakichuana cheka akitupa ngumi bila mafanikio mapambano yanaendelea mashabiki wa cheka walikuwepo umati wa washabiki wa mcvhezo wa ngumi katika ukumbi wa pta leo kamanda kova alikukutoa sapoti yake mshindi ni francis cheka
No comments:
Post a Comment