
Peter Msechu akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya bima ya afya Resolution Health baada ya kupokea zawadi ya bima wakiwa katika ofisi kuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam

Meneja Mkuu wa Resolution Health Afrika mashariki, Oscar Osir, akimkabidhi msanii Peter Msechu zawadi ya bima ya afya kutona na mchezo alioshiriki wa Tusker Project Fame 4 mwishoni mwa mwaka jana. Hafra hii ilifanyika ofisi kuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment