Ikota Super D Shabiki wa Ashanti Boxing akionesha manjonjo yake kumi si mchezo ngumi moja tu chariiiiii Ramadhani Kimangale wa Ashanti kushoto akipambana na Yasini Juma wa Magereza mchezaji akitolewa kikingia kinywa baada ya kuanguka mchezaji wa timu ya Ashanti Abdallah Manyuka akinyoshwa mkono juu baada ya kuibuka na ushindi dhidi Tomas mwakenja vijana wa Ashanti wakishangilia ushindi walioupata juma miwani na rafiki yake wakishangilia Mashabiki wa AShanti walikuwa wakishangilia mbayaaa ndio walioleta changamoto kwa vilabu vingine
No comments:
Post a Comment