Dr. Emmanuel Nchimbi akutana na Wamiliki wa vyombo vya habari
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Kajubi Mukajanga akimuonyesha jarida la Baraza Waziri wa Habari, vijana, utamaduni na michezo Dr. EmmanuelNchimbi(kulia ). Wamilikiwa vyombo vya habari nchini (MOAT) na viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) walikuwa na mazungumzo ya kujadili mambo mbalimbali kuhusiana na taalumaya habari na waziri Dr. Nchimbi leokatika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo. Picha na Anna Nkinda - Maelezo
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (Maelezo) RaphaelHokororo,akifafanua jambo kuhusu sera ya habari wakati wa mazungumzo kati ya wamilikiwa vyombo vya habari nchini (MOAT), na viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Waziri wa Habari, vijana, utamaduni na michezo Dr. EmmanuelNchimbikatika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo. Kushoto ni KatibuMtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Kajubi Mukajanga. Mwenyekiti wa wamiliki wa vyombo vya habari nchini Reginald Mengi(kulia) akizungumza jambowakati wa mkutano huo leo. Kushoto ni Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo. Anayemsikiliza niWaziri wa Habari, vijana, utamaduni na michezo Dr. EmmanuelNchimbi . Waziri wa Habari, vijana, utamaduni na michezo Dr. EmmanuelNchimbi (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja nawamiliki wa vyombo vya habari nchini (MOAT) na viongoziwa Baraza la Habari Tanzania (MCT) mara baada ya kumalizika kwa mkutano wao ulioganyikaleo katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.
No comments:
Post a Comment