Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 8, 2011

ACOT SPORTS KLAB YAKABIDHIWA VIFAA

Mkurugenzi wa The Fadhaget Development Hope. Dkt,Fadhili Emily (kulia) akikabidhi mpira na jezi vyenye thamani ya shilingi laki tano kwa nahodha wa timu ya Acot Mohamedi Taibu kwa ajili ya kuendeleza timu hiyo anaeshuudia katikati ni Mkurugenzi wa kituo cha Acot Sports klab. Emanuel Mwampishi hafla ya makabidhiano hayo yamefanyika Dar es Salaam Leo
Mkurugenzi wa The Fadhaget Development Hope. Dkt,Fadhili Emily (kulia) akikabidhi mpira na jezi vyenye thamani ya shilingi laki tano kwa nahodha wa timu ya Acot Mohamedi Taibu kwa ajili ya kuendeleza timu hiyo anaeshuudia katikati ni Mkurugenzi wa kituo cha Acot Sports klab. Emanuel Mwampishi hafla ya makabidhiano hayo yamefanyika Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...