Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 6, 2011

Redds Yawakarimu Futari Warembo Wa Ilala, Temeke Na Kinondoni





Warembo wakipata futari iliyoandaliwa kwa ajili yao kampuni ya bia ya TBL kupitia Bia yake ya REDDS ambayo ni mzamini wa mashindano ya urembo. Futari hiyo iliandaliwa jana jioni katika hoteli ya City Garden, jijini Dar es Salaam.

Meneja wa bia ya Redds, Victoria Kimaro (wa kwanza kushoto) akipata futari sambamba na wadau wengi jana jioni katika hoteli ya City Garden wakati wa futali maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya warembo wa Temeke, Kinondoni na Ilala.

Warembo kutoka Kinondoni, Ilala na Temeke wakiwa katika picha ya paoja jana jioni katika Hotel ya City Garden mara baada ya futali iliyoandaliwa kwa ajili yao na kinyaji bia ya Redds. Picha zote na Victor Makinda

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...