Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 8, 2011

TIMU ZA RIDHAA, NGUMI WARAMBA MILIONI TATU TATU TOKA KWA NSSF


Kaimu Meneja Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF, juma Kintu (katikati) akimkabidhi milioni tatu kwa Katibu wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa BFT , Makore Mashaga kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya all Afrika Gem kulia ni Katibu wa mchezo wa Ridhaa Selemani Nyambui
  1. Selemani Nyambui akiwa na kitita hicho leoo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...