Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 8, 2011

Kamanda wa matukio akiwa na kamanda mwenzake IGP SAID MWEMA


Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Said Mwema akiteta jambo na mhariri wa picha wa gazeti la Jambo leo Richard Mwaikenda wakati walipokutana hivi karibuni katika moja ya majukumu ya kazi hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa kutii sheria bila kushurutishwa, uliofanyika makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya nje. Picha kwa hisani ya Gazeti la Changamoto.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...