Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 6, 2011

WASHINDI WA TATU KATIKA NGUMI ZA RIDHAA TEMEKE WAKABIDHI KIKOMBE KWA MKUU WA WILAYA YA TEMEKE

Mkuu wa Wilaya ya TEMEKE CHIKU GALAWA akipokea kikombe cha nidhamu
Mkuu wa wilaya akisalimiana na mabondia
Mkuu wa wilaya ya TEMEKE CHIKU GALAWA akipokea kikombe cha mshindi wa tatu walichopata timu ya ngumi ya ridhaa kutoka TEMEKE
Mkuu wa Wilaya ya TEMEKE CHIKU GALAWA akipokea kikombe cha nidhamu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...