Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 3, 2011

USHAULI WA BULE KATIKA NGUMI



On Sunday October 30th At Diamond Jubilee Hall kulikuwa na Boxing UBO title kati ya Mbwana Matumla vs Francis Miyeyusho. Abdul alikuwa ndie Ring Announcer au MC, although kwenye ngumi huwa hakuna master of ceremony – MC, uwa kunakuwa na Ring Announcer. Ambaye kwa siku ile yeye ndie aliyekuwa Ring Announcer.
Kuwa Ring Announcer kuna procedure zake au format yake unavyotakiwa ku announce matukio ( event ) yote yanayotokea kama ifuatavyo :
1. Before commencement of the game,
2. Each end of the round,
3. During the round break,
4. Commence of the round
5. Result and winner announcement
In all above hakuna hata kimoja alichokifuata ktk mpangilio wake inavyotakiwa, alikuwa anajitangazia tu kwa kutojua jukumu lake, kwa wataalam wa ngumi tumegundua hilo na ndio maana nimeona bora nimueleze ili next time akichukua kazi kama hizi afanye maandalizi ya kutazama Intanational fight zinavyokuwa, ajiandae na ajipange, kwa kuwa pale wamekuja watu wengi na wamataifa mbali mbali. Na game ilikuwa recorded na vyombo vya habari vingi. Na report lazima itumwe UBO.
Hope and am sure uwa tunaangalia Intational fight zinavyokuwa utakuwa umenielewa nachozungumza, mfano Ring Announcer well known in this world Michel Buffer au Jimmy Lenon Jr. wanavyo announce, so Ring Announcer anatakiwa afuate format zile, mfano Ephraim Kibonde wa mjengoni ni Ring announcer mzuri sana anafuataformat zote na alijifunza kwa kuangalia Intanationa fight akaiga na anaperfom well kwa hiyo Abdul atazame hizo game.
Tukianza kuchambua hapo juu number 1. Before commencement of the game – kwa ufupi tu, Ile ni Intentional fight tena UBO world title championship, kosa la kwanza hakukuwa na national anthem, na nijukumu lake yeye ku arrange for that and not match maker, PST or Promoter. Kwenye world title yeyote ile lazima national anthem ipigwe, hata kama Boxers wote wanatoka nchi moja, tumeona Boxers wa taifa moja kama marekani anatoka Shane Mosley anapigana na Floyd Mayweather Jr uwa wanapiga wimbo mmoja tu wa taifa na flag lazima hi fly, tumeona ktk ile fight akukuwa na wimbo wa taifa wala flag ya nchi aikuwepo.
Pili ukishapigwa wimbo wa taifa ndipo unawatambilisha mabondia, na anaetakiwa kuanza kupanda ulingoni ni challenger na champion anaeshikilia mkanda anakuwa wa mwisho, na jinsi ya kuwatambulisha ni hivyo hivyo uanaanza na challenger – kwanza wight yake ana weigh KG ngapi, alivyovyaa unaanzia chini ringbout colour yake, bukta rangi yake, glove na mji or jimbo na nchi anayotoka, ukimaliza hapo fight alizo cheza ( record yake ) mfano 40-2-1, amecheza mapambano. 40,kapigwa 2 kadraw 1, na Informationa hizi angeweza kuzipata ktk www.boxrec.com, au kwa Mlundwa au kwa mabondia wenyewe kabla wajapanda ulingoni angewafuata ktk vyumba vyao vya kubadilishia nguo angewauliza wangempa, then kama Michael Buffer anavyofanya uwa anataja mikanda aliyowai kuchukua toka alipoanza ngumi, mfano former WBC flyweight, former Superbantam weight, former featherweight. Two times WBA superfly weight, defending, currently champion of the world ndipo unataja jina lake huku ukivuta kama Michael buffer na watu wanalipuka na makelele mzuka unapanda.
Timekeeper ana gonga kengele then Ring announcer unatoa watu ulingoni, second out of the ring, round one, inagongwa kengele box inaanza.
Hapo ni kwa ufupi tu ndugu zangu, ila number, 2.3.4 and 5 kwa msaada tu nnazo soft copy za fight karibu zote, aje na Hard disc ya GB 50, au100, ntampa kama soft copy atazame kina Jimmy Lennon Jr, na Michael Buffer wanavyo announce boxing, hata wewe kaka ukiitaji ntakupa ni game zote za kina Manny Pacq, Floyd Mayweather, Oscor dela hoya, Miguel Cotto, Shane Mosley, Bernard Horpkins, David Haye and so many fight.
Although najua ndio fight yake ya kwanza kuwa Ring announcer ila ajifunze na aige kina Buffer wafanyavo ili ionekane ni world tilte kweli kweli, kuliko alivyochemka last Sunday, ili next time akichukua kazi kubwa kama ile ajue nini anatakiwa kufanya, mimi game/fight ntampa bure ajifunze.
IMEANDIKWA NA MDAU WA MCHEZO WA NGUMI NCHINI NA DUNIANI KIUJUMLA KWA MAONI USHAULI KUCHANGIA CHOCHOTE TUWASILIANE KUPITIA Email. superdboxingcoach@gmail.com na usisite kutembelea www.supuperdboxingcoach.blogspot.com kwa maswala yote ya mchezo wa ngumi Tanzania na Dunia kwa ujumla

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...