Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Mkoa wa Tabora, Henry Mwakasendo (wa pili kulia) akikabidhi funguo ya jengo la bweni la wanafunzi wenye ulemavu la Shule ya Msingi Sikonge, lililojengwa na NBC kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Sikonge ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Moshi Chang’a, shuleni hapo Mkoani Tabora leo. Bweni hilo pamoja na ukarabati wa madarasa mawili ya shule hiyo vimeigharimu NBC kiasi cha shs milioni 67. Kulia ni Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja na wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa benki hiyo, Addie Mhina. Marquee
tangazo
Sunday, November 20, 2011
NBC yakabidhi msaada wa bweni na kufanya ukarabati wa madarasa- Shule ya Msingi Sikonge Tabora.
Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Mkoa wa Tabora, Henry Mwakasendo (wa pili kulia) akikabidhi funguo ya jengo la bweni la wanafunzi wenye ulemavu la Shule ya Msingi Sikonge, lililojengwa na NBC kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Sikonge ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Moshi Chang’a, shuleni hapo Mkoani Tabora leo. Bweni hilo pamoja na ukarabati wa madarasa mawili ya shule hiyo vimeigharimu NBC kiasi cha shs milioni 67. Kulia ni Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja na wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa benki hiyo, Addie Mhina.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment