Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, November 4, 2011

BONDIA FRANCIS MIYAYUSHO KUFANYIWA PATI YA UBINGWA WAKE LEO

Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) akipambana na Mmbwana Matumla ambaye alimtwanga kwa pointi miyayusho anafanyiwa pati ya ushindi wake katika ukumbio wa Katumba Bar Kinondoni ambapo mgeni rasmi ni Diwani wa Kata ya Ananasifu Abasi Talimba
Kamanda wa Polosi Kanda Maarumu, Suleimani Kova akimvisha mkanda wa Ubingwa Bondia Fransic Miyayusho baada ya kushinda kwa pointu kulia ni Diwani wa KInondoni Kata ya Hananasifu, Abasi Tarimba na kiongozi wa kambi ya ngumi ya kinondoni Lazima Ukae, meneja ambaye ni mkurugenzi wa Kisangani Genalar Trades ya Kariakoo,Bobani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...