Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, November 4, 2011

Tume Ya Kurekebisha Sheria Tanzania Yawaaga Wastaafu wake


Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Sufian Bukurura akimkabidhi zawadi Katibu Mtendaji mstaafu wa Tume hiyo Japhet Sagasii wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa Tume iliyofanyika ukumbi wa Land Mark Dar es Salaam.
Kamishna Bukurura akimkabidhi zawadi ya Jokofu dereva mstaafu wa Tume Salum Mtanga.
Watumishi wa Tume wakiwa katika hafla
Kamishna Bukurura akimkabidhi zawadi ya Jokofu dereva mstaafu wa Tume Salum Mtanga.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...