Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 7, 2011

Taji Miss World laenda Venezuela


Baadhi ya wanyange walioshiriki Miss World wakiwa na bikini


Miss Venezuela, Ivian Sarcos
Miss Hispania, Carla Garcia
Miss Uturuki, Gizem Karaca

Miss Chile, Gabriela Pulga
Miss Venezuela, Ivian Sarcos, ametwaa taji la Miss World baada ya kuwabwaga wanyange kutoka mataifa mbalimbali duniani, katika mchuano uliofanyika usiku wa kuamkia leo jijini London, England.


Miss World mwaka jana, Alexandria Mills wa Marekani, alivua taji hilo baada ya kumaliza muda wake, na kumvisha Miss Venezuale Ivian.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...