Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 3, 2011

HABIBU KINYOGOLI BONDIA MKONGWE ALIYEAMUA KUWAENDELEZA VIJANA KATIKA MASUBWI


Habibu Kinyogoli wa pili kushoto waliokaa akiwa na timu ya taifa ya ngumi mwaka 1973
Habibu KInyogoli wa tatu kutoka kushoto akiwa katika kambi ya taifa nchini ujerumani mwaka 1973


Habibu Kinyogoli wa pili kulia kutoka kwa aliyekuwa balozi wa ungereza mwaka 1974 aliyevaa nguo nyeupe hapo wakiwa UK ilikuwa kuku mwanzo mwisho
Habibu Kinyogoli kulia aliyeshika kikombe akiwa na Mfaume Kawawa Simba wa Yuda baada ya kutoka katika mashindano ya All African Gem
Habibu Kinyogoli kushoto akisalimiana na Aliyekuwa meya wa jiji la Dar es salaam aliyefaamika kwa jina la Mzee Londo baada ya kutoka katika mashindano ya ngumi ya Afrika mwaka 1973 vkulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala aliyejulikana kwa jina la Mchomo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...