
Mafundi wa TANESCO wakiutoa Mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina juu ya nguzo za umeme ,mtu huyo alinaswa na umeme na kupoteza maisha wakati akijaribu kuiba transifoma jijini Mwanza

Mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina ukiwa juu ya nguzo za umeme ,mtu huyo alinaswa na umeme na kupoteza maisha wakati akijaribu kuiba transifoma jijini Mwanza
No comments:
Post a Comment