Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo (katikati) akibonyeza simuya mkononi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya TPB POPOTE, ambayo inamwezesha mteja kupata taarifa mbalimbali, kununuamuda wa maongezi, luku na kutumana kuweka fedha. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu waBenki ya Posta Tanzania, SabasabaMoshingi, ambaye anaangaliaProjector ili kuangalia taarifa za Waziri Mkulo na kulia nimfanyakazi wa benki hiyo. Uzindunzi huo ulifanyika kwenye hoteli yaKilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam leo. PICHANA MAGRETH KINABO - MAELEZO
Ofisa Mtendaji Mkuu waBenki ya Posta Tanzania, SabasabaMoshingi, akizungumzia kuhusu uzindunzi wa huduma ya TPB POPOTEulifanyika kwenye hoteli yaKilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam leo
Kikundi cha burudani cha Simba Theatre akitoa burudani wakati wa uzinduzi wabaada yauzindunzi wa huduma ya TPB POPOTEulifanyika kwenye hoteli yaKilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam leo.
Ofisa Mtendaji Mkuu waBenki ya Posta Tanzania, SabasabaMoshingi, ( kushoto) akimsikiliza kwa makiniPosta Master Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, JohnMndeme(kulia ) anayesisitiza jambomara baada yauzindunzi wa huduma ya TPB POPOTEulifanyika kwenye hoteli yaKilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa watendajimara baada yauzindunzi wa huduma ya TPB POPOTEulifanyika leo kwenye hoteli yaKilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam.
No comments:
Post a Comment