Baadhi ya kinamama na watoto wakisubili kupatiwa chanjo kwa watoto wakati wa utoaji wa chanjo katika hospital ya Amana Ilala Dar es salaam
Ofisa muhuguzi wa hospital ya Amana Bi.Tabea Lukindo (kulia) akimnywesha chanjo mtoto Ekla Moses Dar es salaam leo wakati wa utoaji chanjo ya vitamin.A na ya kuzuia ugojwa wa minyoo
No comments:
Post a Comment